AfyaMtandao

PATRICK JOHN CHITALYA's Comments

Comment Wall (6 comments)

You need to be a member of AfyaMtandao to add comments!

Join AfyaMtandao

At 17:38 on January 26, 2015, STELLA KWALE said…

Good Day,

How is everything with you, I picked interest on you after going through your short profile and deemed it necessary to write you immediately. I have something very vital to disclose to you, but I found it difficult to express myself here, since it's a public site.Could you please get back to me( mrsstellakwale5888@gmail.com ) for the full details.

Have a nice day

Thanks God bless.

Mrs Stella

At 12:09 on September 27, 2013, sona said…

Aisee members hawa wanaingia na kutoka hawakai sana, ndiyo maana mnajikuta mko online watu wachache. Tunajitahidi kuwahamasisha wawe online japo kwa muda kidogo ili tuwasiliane.

At 8:12 on November 14, 2012, Ernest Earl Itwana said…

Itakuwa vema kama utaweka picha yako ili kupanua wigo wa network yako

At 8:04 on November 14, 2012, sona said…

Hello Patrick, karibu katika Mtandao wetu huu wa kushirikishana na kujadili mambo mbalimbali kuhusu sekta ya afya.Nakuomba ushiriki kikamilifu katika kutushirikisha shughuli unazofanya katika kusaidia jamii hususani katika sekta ya afya. Kupitia Mtandao huu mada mbalimbali zinajadiliwa mfano; TibaMtandao (Telemedicine), Mfumo wa kuhifadhi taarifa za afya kwa njia ya Kompyuta (HMIS), Uzazi wa mpango na malezi bora. Karibu tushirikishane maarifa haya.

At 7:55 on November 14, 2012, Ernest Earl Itwana said…

Itakuwa vema kama utaweka picha halisi ya kwako ili kupanua network yako

At 7:54 on November 14, 2012, Ernest Earl Itwana said…

karibu sana kwa ushirikisha taarifa za afya, wakaribishe na wengine kny portal hii.

© 2024   Created by sona.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service