AfyaMtandao

December 2012 Blog Posts (2)

Miaka 51 ya Uhuru, Kipato cha Mwana Mwanza- Changamoto inayo hitaji Ufumbuzi.

Habari hii na Atley Kuni - Mwanza

Imeelezwa kwamba pamoja na Tanzania kuadhimisha miaka hamsini na moja ya Uhuru bado pato la mwana Mwanza lipo chini ya kiwango cha kawaida ukilinganisha na rasilimali ziliopo mkoani humo. Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhandisi Evaristi Ndikilo wakatiwa maadhimisho ya miaka hasini na moja ya uhuru wa Tanzaniabara…

Continue

Added by sona on December 12, 2012 at 9:23 — No Comments

Rungwe PBF Training in Octor 2012 Was a Success!

The third and last round for PBF Training for Health Workers in Rungwe was officially closed on 4th October 2012 by Zonal Chairperson of the CSSC- Southern Zone Rt. Rev. Bishop Dr. Israel- Peter Mwakyolile at Catholic Youth Centre in Tukuyu. The training took ten days from 24th September to 4th October 2012. A total of 14 PBF modules were covered.

The official closure had many colourful events: A word of thanks from 20 trainees from Health facilities in Rungwe- both Public and Faith…

Continue

Added by Sule, T.Michael on December 11, 2012 at 14:00 — No Comments

© 2024   Created by sona.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service