AfyaMtandao

October 2012 Blog Posts (6)

Hospitali Teule ya Muheza na mfumo wa Kompyuta kwa watumishi (HRIS)

Tume ya Kikristo ya Huduma za jamii (CSSC) kanda ya mashariki imetoa vifaa na kufunga mfumo wa kuhifadhi taarifa za watumishi kwa njia ya Kompyuta ili kurahisisha upatikanaji wa taarifa sahihi za watumishi na kuwezesha menejimenti ya hospitali kupanga na kutoa maamuzi yahusuyo watumishi kulingana na taafifa hizo.



Kabla ya kufungwa mfumo huo hospitalini hapo, watumishi…

Continue

Added by sona on October 17, 2012 at 10:32 — No Comments

CSSC yakabidhi Majengo hospitali ya Cardinal Rugambwa

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesema itaendelea kuboresha zaidi ushirikiano na sekta binafsi yakiwemo mashirika ya dini, kwa kuboresha zaidi mazingira yatakayowezesha sekta binafsi kushiriki kikamilifu katika utoaji wa Huduma za afya.

Hayo yamesemwa na Waziri wa afya na ustawi wa jamii Dk. Hussen Mwinyi katika hotuba iliyosomwa kwa niaba yake na Kaimu…

Continue

Added by sona on October 17, 2012 at 8:51 — No Comments

Third Round PBF Training for Health Workers in Rungwe District

This is the third and last round for PBF training for Rungwe District Health Staff. This year, the training involved 20 participants from: church health facilities, District Medical Officers Office, from Project and Church health Department.

It was officially opened by the District Medical Officer for Rungwe District Council on 25th September 2012 at Catholic Youth Centre in Tukuyu, though the training started on 24th September 2012. In his brief opening speech, the DMO acknowledged the…

Continue

Added by Sule, T.Michael on October 10, 2012 at 13:26 — 3 Comments

CRS envoy hailed CSSC’s development

       

Catholic Relief Service (CRS) President, Dr Carolyn Woo has hailed CSSC’s development and expansion in taking        over   AIDSRelief activities in the Lake Zone.

Dr Woo said that when she visited CSSC Headquaters in Dar es Salaam on 6th October, 2012 to meet new CSSC Executive Director Mr Peter Maduki and ART project implementing team.

The president…

Continue

Added by Ernest Earl Itwana on October 10, 2012 at 9:30 — No Comments

Awamu ya pili ya mradi wa tunajali

Tume ya Kikrsito ya Huduma za jamii yaani Christian Social Services Commission (CSSC), kwa kushirikiana na Kampuni ya Deloitte Consulting Ltd, imeanza utekelezaji wa programu maalamu inayolenga kujumuisha matibabu ya ukimwi na programu imarishi kwa lengo la kutoa Huduma na matibabu bora yanyolingana na thamani ya fedha za wafadhili.



Mradi huo unaojulikana…

Continue

Added by sona on October 9, 2012 at 12:39 — No Comments

Mikataba zaidi ya Huduma za Afya yasainiwa Tanzania

Tangu kusainiwa kwa mkataba wa kwanza wa utoaji Huduma za afya kati ya Halmashauri ya Lushoto na Hospitali ya Kilutheri ya Bumbuli (2008), Halmashauri zaidi zimeingia katika mikataba na vituo binafsi vya afya ili kutoa Huduma bora na nafuu hasa kwa wanawake wajawazito na watoto chini ya miaka mitano.

Tayari halmashauri 37 zimeishaingia katika mikataba ya utoaji wa…

Continue

Added by sona on October 8, 2012 at 10:55 — No Comments

© 2024   Created by sona.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service