AfyaMtandao

September 2012 Blog Posts (5)

TCMA yaadhimisha Jubilee ya miaka 75

CHAMA cha Madaktari wa Kikristo Tanzania (TCMA), kimeeleza kuwa asilimia kubwa ya vituo vya afya vilivyopo maeneo ya vijijini vinakabiliwa na changamoto nyingi ikiwemo uhaba wa rasilimali watu jambo ambalo linakwamisha maendeleo ya afya vijijini.Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa TCMA, Dk. Isaya Tosiri, wakati wa kongamano la  Jubilee ya miaka 75 ya chama hicho tangu kuanzishwa…

Continue

Added by sona on September 24, 2012 at 13:13 — No Comments

Ufinyu wa Rasilimali tishio kwa afya nchini

Naibu waziri wa Afya na Ustawi wa afya Jamii Dk. Seif Rashidi, amekiri kuwa ufinyu wa rasilimali bado unaendelea kuwa tishio kwa Huduma za afya nchini licha ya juhudi mbalimbali zinazofanywa na serikali.Dk. Rashidi aliyaeleza hayo wakati akihutubia katika ufunguzi wa mkutano wa 75 wa mwaka wa Chama cha Madaktari wa Kikristo Tanzania (TCMA) unaofanyika jijini Dar es…

Continue

Added by sona on September 19, 2012 at 9:07 — No Comments

Regional Health Management Team (RHMT) recommended PBF to enhance Performance in Health Sector

On 28th June 2012, Rungwe PBF Pilot Project Organized one day meeting for Regional Health Management Team (RHMT)- Mbeya Region and City Council Management Team Members (CHMT) at Regional Medical Officer (RMO) Conference room. It was part of Performance Based Financing (PBF) advocacy in the Region and we used the session as an opportunity to give feedback on the project implementation to the participants.

The meeting was officially opened by the Chairman of Christian Social Services…

Continue

Added by Sule, T.Michael on September 13, 2012 at 12:40 — 1 Comment

E-learning course on M&E of Human Resources for Health

A new eLearning course, an introduction to monitoring and evaluation of human resources for health, was recently published by CapacityPlus and is now accessible through the HRH Global Resource Center. The course introduces key monitoring and evaluation (M&E) concepts and explains how they apply to the field of human resources for health (HRH). It also…

Continue

Added by sona on September 11, 2012 at 9:43 — No Comments

More health facilities to use HRIS at CSSC Southern zone

The rolling up of the Human resource information system (HRIS) to some of the faith based organization (FBO)’s health facilities has increased high demand of the system need to more CSSC facilities. The HRIS connected facilities have improved data storage and analysis, and now are using quality data for planning and budgeting, hospital’s administrators are able to access…

Continue

Added by sona on September 10, 2012 at 12:01 — 3 Comments

© 2024   Created by sona.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service