AfyaMtandao

August 2013 Blog Posts (1)

CSSC yazindua mpango wa kuwarejesha katika matibabu watu wanaoishi na VVU jijini Mwanza

Tume ya Kikristo ya Huduma za jamii (Christian Social Services Commission) CSSC, imezindua mpango maalum wa kuwarudisha watu wanaoishi na Virusi vya UKIMWI katika huduma endelevu za matibabu ya VVU katika jiji la Mwanza.

 

Mpango huo unajulikana kama "Back To Care Initiative" umezinduliwa rasmi na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhandisi Evarist Ndikilo katika viwanja vya…

Continue

Added by sona on August 14, 2013 at 9:10 — No Comments

© 2024   Created by sona.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service