AfyaMtandao kuhamasisha zaidi matumizi ya TEHAMA
Tume ya Kikristu ya huduma za jamii (CSSC) kupitia kitengo cha AfyaMtandao imepanga kujikita zaidi katika kuhamasisha matumizi ya Teknolojia ya habari na mawasiliano (TEHAMA) katika hospitali za taasisi za dini na zile za binafsi ambazo zipo tayari kutumia teknolojia hiyo.…
Added by sona on August 31, 2012 at 12:14 — No Comments
Mradi wa kuboresha Huduma ya akina mama na watoto kwa njia ya TEHAMA “e-RCH for Better Care” unaotekelezwa kwa pamoja kati ya Tume ya Kikristu ya Huduma za jamii (CSSC), kupitia mradi wa AfyaMtandao, Chuo kikuu cha Afya Muhimbili kupitia kitengo cha elimu kwa njia ya mtandao, Shirika la ITIDO sambamba na Kampuni ya SoftMed, umetoa Kompyuta 2 na simu za mikononi 42 ambazo zitatumika katika shughuli za mradi kukusanya na kuhifadhi taarifa za akina mama wajawazito na watoto walio chini ya miaka…
ContinueAdded by sona on August 15, 2012 at 11:36 — No Comments
Madhehebu ya dini ya Wakristo na Waislamu yamesaini makubaliano ya kuanzisha jukwaa la pamoja la majadiliano kuona namna gani watakavyoweza kupambana na maambukizi ya ugonjwa wa Ukimwi kwa waumini wao.
Jukwaa hilo linalofahamika kama “Tanzania AIDS Interfaith Forum” (TAIFO) litaratibu na kusimamia shughuli za pamoja za kuzuia maambukizi ya Ukimwi kwa kutoa huduma itakayoboresha afya za watu wanaoishi na Virus vya Ukimwi na kutoa msukumo katika kubadili tabia kwa jamii, hasa katika…
ContinueAdded by sona on August 15, 2012 at 11:30 — No Comments
© 2024 Created by sona. Powered by