AfyaMtandao

July 2012 Blog Posts (1)

Mfumo wa Kompyuta wa AfyaPro kufungwa hospitali ya Sengerema

Hospitali teule ya wilaya ya Sengerema inayomilikiwa na Kanisa Katoliki Jimbo la Geita iko mbioni kuanza kutumia mfumo wa “AfyaPro” wa kukusanya na kuhifadhi  taarifa za afya kwa njia ya Kompyuta. Imeelezwa kuwa mfumo huo utafungwa katika idara tatu ambazo ni; mapokezi kwa ajili ya wagonjwa wa ndani na nje, maabara na katika kitengo cha upasuaji.



Meneja wa mradi wa “D-HMIS” ambao unaratibu ufungaji wa mfumo huo Bw. Deogratias Katonyela anasema, maandalizi ya ufungaji wa mfumo huo…

Continue

Added by sona on July 30, 2012 at 14:04 — No Comments

© 2024   Created by sona.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service