Added by Sule, T.Michael on May 19, 2013 at 20:27 — No Comments
Tume ya Kikristo ya Huduma za Jamii (CSSC) imeshinda Tuzo ya kutambua mchango wa mashirika ya dini katika kuwawezesha wanawake kutambua haki ya afya ya uzazi. Tuzo hiyo imetolewa na Shirika linalotetea masuala ya jinsia (Gender links) ukanda wa nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) lenye makao yake makuu nchini Afrika Kusini.
CSSC ilitangazwa mshindi na kukabidhiwa Tuzo…
Continue© 2024 Created by sona. Powered by